Duration 3:31:10

Siku ya Kwaya ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato Mwenge- 2020

848 watched
0
22
Published 28 Jun 2020

Karibu kufuatilia mubashara Siku Kuu ya Uimbaji na kumsifu Mungu. Siku hii mahsusi kwa kwaya ya Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge, wakishirikiana na Kwaya ya Light Bearers (LB), zote kutoka Dar Es Salaam, Tanzania. Karibu kuimba na kwaya hizi. Kwaya ya Mwenge iko katika maandalizi ya mwisho ya kutoa toleo lao lingine la Santuri mwonekano (DVD); waweza omba kwa ajili ya kutimia kwa lengo hilo; waweza toa sadaka pia kufaniskisha lengo hilo pia. Barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz Mungu akubariki.

Category

Show more

Comments - 1