Duration 12:50

MTOTO AFANYIWA UKATILI NA MAMA WA KAMBO/AGEUZWA MSICHANA WA KAZI WABABA MTAANI WASHINDWA KUVUMILIA

56 187 watched
0
580
Published 27 Apr 2020

Ukatili dhidi ya watoto bado unaendelea.Mtoto huyu afanyiwa ukatili na mama yake wa kambo,Ni binti wa miaka 11 ageuzwa msichana wa kazi na kupigwa sana hadi kuvimba.Wababa wa mtaani washindwa kuvumilia..Fwatilia kisa hiki cha kusikitisha kisha utoe maoni yako. #geahhabibu #GeahTv #MatukioYaGeah

Category

Show more

Comments - 492