Duration 4:38

Magoli 8 ya David Molinga wa Yanga kwenye ligi kuu hadi kufikia Machi 17, 2020

49 815 watched
0
149
Published 26 Mar 2020

MAGOLI MANANE YA DAVID MOLINGA: Huyu ndiye kinara wa mabao kwenye ligi kuu msimu huu katika klabu ya Yanga, anaitwa David Molinga, amefunga mabao manane hadi sasa, mawili kwa kichwa, sita kwa mguu wa kulia, free-kick mbili na penati moja. Yanga imebakiza mechi 11 kumaliza msimu, je, ataweza kuifikisha magoli 15 kama alivyotabiriwa na Kocha Mwinyi Zahera? Sikiliza waliotangaza magoli haya….. Je, ni mtangazaji gani wa kabumbu wa #AzamTV ambaye hajabahatika kutangaza goli la mwamba huyu raia wa Congo DR? #Michezo #Sports #LigiKuuTanzaniaBara #VodacomPremierLeague #VPLUpdates #VPL #DavidMolinga #YangaSC Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 9