Duration 1:50

RAIS MAGUFULI ATANGAZA KWA MAJONZI MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AFARIKI DUNIA

38 527 watched
0
233
Published 24 Jul 2020

Category

Show more

Comments - 150
  • @
    @charlesotwalo93354 years ago Mzee wetu Benjamin Wiliam Mkapa, ambae pia ni Rais mstafu pumzika kwa amani na Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Amen.
  • @
    @danielsimon76294 years ago Kazi ya MUNGU haina makosa, MUNGU aiweke Roho ya marehemu mahali pema Peponi. Amen
  • @
    @gauedwin19604 years ago My condolences to the nation of Tanzania may God grant you strength during this mourning period,Mzee mkapa safiri salama salimu Mzee Moi aliyetangulia till we meet again🇰🇪🇰🇪🇰🇪 4
  • @
    @elyviarespicius7284 years ago Imani umeilinda baba pumzika kwa amani mzee wetu mkapa 🙇🙇😓😓 3
  • @
    @petermheta45664 years ago DAAAAAHHHH, POLE SANA RAIS WETU MAGUFULI KWA KUPATA MSIBA MKUBWA NAMNA HIII, TUPO NYUMA YAKO KATIKA HILI, MUNGU AKUTIE NGUVU KATIKA KIPINDI KIGUMU KAMA HIKI. 6
  • @
    @khadejarajab80074 years ago Innalilah waina ilahirajiun allah amsamehe makosa yake ampe kauli thabitina sisi atupe mwisho mwema amiiin ishaallah 🙏 1
  • @
    @faridamtuka18964 years ago R. IP baba Mungu akupe pumziko la raha 😭😭😭😭
  • @
    @andrewntezirizaza38314 years ago Poleni sana ndugu zetu kwa msiba huu mkubwa. Rais Mkapa alikuwa muungwana na mtu mwema sana. Mungu amuekee wepesi Rais Mkapa
  • @
    @julithaaugust58884 years ago Pole sana! Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi.
  • @
    @abdallahshabani80924 years ago Safar yetu sote 🇹🇿🇹🇿 😭😭 pumzika kwa Aman baba, mungu ailaze roho ya marehem mahala pema pepon amn 🙏 3
  • @
    @monicaashery30124 years ago Thank you for serving our nation, and may you rest in peace, Amen! My Condolences to your family, the people of Tanzania, and every human being who feels the pain of your passing. The heavens have gained another hero; you will be missed! ... 4
  • @
    @zumbeshauri81144 years ago Pole Sana mzee magufuri najua unaumia kuliko wengine
  • @
    @saghiralhinai39844 years ago Mungu ailaze roho yake kiongozi wetu mstaafu amiiin
  • @
    @kalundemalale88374 years ago Innalillah Wainaillah Rajiun. Allah amlaze mahara pema peponi Amin Rais wetu wa Awamu ya tatu, Baba yetu Mhe. Mkapa. Pole sana Mhe. Rais wangu, Allah akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu na atutie nguvu Watanzania wote, amin. ...
  • @
    @japhethgeriad45194 years ago Mheshimiwa anajikaza tu aisee mazungumzo yake yanaonesha wazi kaumia sana.
    Mungu akutie Nguvu Raisi wetu pamoja na wasaidizi wako
    1
  • @
    @husnamahadhi74374 years ago Mungu amrehemu na atusamehe makisa yetu amin
  • @
    @mohamedturanardan88714 years ago Alhamdulilah tunakushukuru Allah, tunakushukuru Allah, tunakushukuru sana Allah.
  • @
    @ezekielmburu34184 years ago Endelea kuwandanganya watanzania kuwa hakuna corona.Umekua ukikejeli ubalozi wa marekani na mataifa mengine ambayo yanawataka watanzania wachukue tahadahari 1
  • @
    @fatumaathumani31084 years ago R.I.P msiba wa watanzania mungu amlaze mahali pema peponi Amin🤲
  • @
    @felisianlissu68784 years ago Ktk maisha ya hapa Duniani hatutakaa tumsahau Rais wa awamu ya tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin Willia Mkapa. Mungu ampumzishe kwa Amani, Amina
  • @
    @jmassawe37994 years ago Mungu aweke roho yake mahali pema peponi Amina
  • @
    @abdhihariabdhallah7604 years ago Wale ndugu zetu wa kutoka Pemba aliowauwa bila sababu wakaacha mayatima mkapa Leo umeingia mikononi mwa mwenyezi na damu ya uliowadhulumu nafsi zao na wizi uliotuibia rasilimali ukishirikiana na wazungu umeziacha na wewe magufuli endelea kutuzulumu iko siku mungu atakutia mikononi mwake ... 1
  • @
    @tanzaniakwanza95644 years ago Poleni sana watanzania wenzangu, Apumzike kwa aman Mzee wetu.🇹🇿😢😢 1
  • @
    @emmanuelykwavi56824 years ago So sad 😭😭😭 Pumzika kwa amani baba yetu Mkapa🙏
  • @
    @christianbihemo80354 years ago R. I. P. Benjamin William mkapa pigo kwa watanzania 1
  • @
    @victorialucas44764 years ago Nimeumia jamaniiii pumzika Kwa amani Baba
  • @
    @fidelludemwa34854 years ago MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHARA PEMA PEPONI AMINA
  • @
    @minazsaid24704 years ago M.mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi mbele yake nyuma yetu
  • @
    @eliajoseph3744 years ago limepoteza rasrimali kubwa Ila ndo ivo kila nafsi itaoja mauti # 1
  • @
    @barakanjawi57734 years ago Bwana katoa bwana katwaa jina lake liimidiwe amina🙏🙏🙏🙏
  • @
    @khalidsalmin76824 years ago ALLAH S.W kwa upendo wake na rehma zake amsamehe mzee Benjamin madhambi yake na pale alipokosea na amlaze mahali pema peponi amin
  • @
    @smjange24184 years ago R.I.P
  • @
    @angelsonshiteri72324 years ago HII NI SIMANZI KWA WATANZANIA MAANA AMEKUWA MSHAURI WA RAIS WETU KWA MUDA WOTE
  • @
    @aminaabdallah77024 years ago Pôle sana MH rais hio ndodunia.mgu mrehemu ichallah
  • @
    @wonderwomentv60004 years ago Rip mzee wetu thanks for working for our beloved Tanzania
  • @
    @Julina90994 years ago Wote tunjia moja hakuna ataenda njia tofauti
  • @
    @inbox44mikemchai94 years ago Pumzika kwa amani Baba,wewe mbele sisi nyuma.We will always remember you .
  • @
    @kajoro_bornson54 years ago Du jamn R.I.P our third pesident bejamni mkapa
  • @
    @franciscomohamedjumanne11364 years ago Dah rest in peace Mzee Mkapa dah pigo kubwa kwakweli
  • @
    @janekikoti21794 years ago Uwiii!sina la kusema Mungu ampokee kwenye nyumba yake ya milele😭😭😭😭😭😭😭😭😭
  • @
    @titosanga54474 years ago Pumzika kwa amani mzee wetu sote duniani tunapita.
  • @
    @mvp14154 years ago Rest in Paradise mzee Benjamin William mkapa
  • @
    @adronikokihindo42464 years ago Mungu amlaze pema peponi twamuombea aendako,