Duration 4:24

Mambo 7 ya Kufanya Kama Huna KAZI au Unatafuta Ajira

174 watched
0
3
Published 7 Aug 2020

Ni kazi kupata kazi ,unafanya nini kama huna kazi? Kuna watu waliokosa au kupoteza ajira kutokana na majanga ya mwaka huu. Kwasababu hiyo nimeandaa hii video kuwaonyesha watu kuna vitu wanaweza kufanya na ukifanya angalau kitu kimoja humu unaweza kinaweza kukusaidia kiasi chake. Huwa tunapuuzia vitu cidogo, lakini ukifanya mabadiliko madogo kwa muda mrefu utashangaa yale mambo ambayo utaweza kukamilisha . 0:34 Kitu cha kwanza - ratiba 0:51 Kitu cha pili - kazi mtandaoni 1:13 Kitu cha tatu - skills 1:48 Kitu cha nne - mazoezi 2:09 Kitu cha tano - shughuli za muda 2:30 KItu cha sita - jijali 3:06 Kitu cha saba - uza Tuchati kidogo: Whatsapp: +255748617176 Instagram:https://www.instagram.com/cris_jipangetz/ Faceebook: https://web.facebook.com/JipangeTza/?view_public_for=109899080564660 Zijue Sehemu Tatu (3) Za Kutafuta Kazi/Ajira hapa: /watch/oGt7Wlw31cE37

Category

Show more

Comments - 6