Duration 6:35

NDOA YA LULU NA MAJIZZO YAFIKA, MAJIZZO ATANGAZA RASMI TAREHE YA NDOA, AULIZA UKUMBI GANI UTATOSHA

26 775 watched
0
214
Published 2 Oct 2020

Category

Show more

Comments - 57
  • @
    @Doomy-ef4ez4 years ago Hongera kwai mungu awatanguliye inshallah. 5
  • @
    @rahmaramadhan97734 years ago Mungu akunusuru mtoto mzuri mungu akuondoshee hasadi iwe harusi njema mungu aiondoshee maadui mungu akupe maisha mazuri wasamehe wabaya wako wote walio . ...Expand 3
  • @
    @Doomy-ef4ez4 years ago Amevumilia huyu dada kusema kweli tena anakili tunasubiri. 10
  • @
    @nurafedrick3784 years ago Loo hapo mzazi mwezaa kiazi kitamnyongaa. 6
  • @
    @mariammwendakazungu57834 years ago Hongera sana lulu allah awajalie kila kheri. 1
  • @
    @raniairadukunda76714 years ago Alhamdulillah rabbil alamin. Mungu amesema haya benye maneno watakaa kimya. 2
  • @
    @6elim124 years ago Mungu awajaalie katika maishayao ya ndoa. 1
  • @
    @OmanOman-sm6dv4 years ago Mtu anaetaka kuowa awezi kuliza ukumbi upi ukumbi ww ndo unajua ukumbi wapi muowaji aulizi ukumbi wapi. 6
  • @
    @frorenceetoile30164 years ago Napenda saana mungu awasaidie inshaallah. 1
  • @
    @muganzajohn74304 years ago Ogera sana lulu mungu awabariki paka kecho ahera. 3
  • @
    @azzamahamdu70394 years ago Bora amuoe. Kha miaka 2 mnaka tu kuzini. 1
  • @
    @hellenmwayole87154 years ago Lulu mungu akutetee na kukulinda na kila hila za waharibifu. Maana kuna watu wao ni kuharibu tu. 1
  • @
    @lulumalima17394 years ago Congrats if it is true girl. Hamisa his gone girl, diamond hashikiki mylove. Inshallah god atakuletea aliyowapa wako.
  • @
    @kissajimmy43654 years ago Msinisahau kunitumia nauli jamani tumeiyombea sana hiyo harusi.
  • @
    @hadijase04944 years ago Ishaallah kwauwezo wake allah, nibora itimie.
  • @
    @hazinaluluconfidence66764 years ago Hii nimeipenda stile yao kuliko kuharakisha kufunga alafu kuachana si sawa.
  • @
    @sarahogama95404 years ago Ebu watangazaji aacheni ufala bana mm naaribu bundles nikifikiria naja kuona full video du. 1
  • @
    @wivinemwamini91104 years ago Good amutoshemuhaya kabisa gisiarimutosha mugereza.
  • @
    @hidayahidaya2934 years ago Allah awafanyie wepesi wafunge ndoa yao salama shukran habibt fatma. 1
  • @
    @fungavailethalmasi914 years ago Hy wambea wenzangu comment ziwe fupi bc.
  • @
    @khadijaali36884 years ago Yaani mashllh mschna mdogo aolewa ameshinda mijitu mizima bdo yafanya ufusko kuolewa hawaolewi.
  • @
    @kauyemnyamulu55044 years ago Ila majizo kafanana na morson mchezaji wa simba.
  • @
    @wivinemwamini91104 years ago Sunaona wanawanaumekisha wapede wegine good haya kwa hamisa. 1
  • @
    @wivinemwamini91104 years ago Hamisa utapemuka pakakuzarishwa una achwa. 1
  • @
    @rahmaramadhan97734 years ago Mungu akunusuru mtoto mzuri mungu akuondoshee hasadi iwe harusi njema mungu aiondoshee maadui mungu akupe maisha mazuri wasamehe wabaya wako wote walio . ...Expand 3