Duration 16:53

Changamoto Siyo Uhaba wa Mbolea Bali Ni Bei Kuwa Juu, bei imeongezeka kwa zaidi ya 50%-WAZIRI MKENDA

1 259 watched
0
9
Published 29 Nov 2021

Waziri wa Kilimo Mhe Prof Adolf Mkenda akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu changamoto ya mbolea nchini amesema kuwa matumizi ya mbolea Tanzania ni madogo kwa wastani ni chini ya wastani kwa nchi tulizokubaliana kwa Nchi za Afrika, matumizi yetu ni tani 400,000 kwa mwaka changamoto siyo uhaba ni bei, bei imeongezeka kwa zaidi ya 50%. Miaka 60 ya uhuru mafanikio changamoto na mwelekeo wa wizara ya kilimo.

Category

Show more

Comments - 2