Duration 5:26

Waziri wa OR -TMSMIM SMZ amewataka Wakurugenzi walioteuliwa kutokuwa kikwazo kwa wafanyakazi

142 watched
0
1
Published 24 Sep 2021

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohamed amewataka Wakurugenzi walioteuliwa kutokuwa kikwazo katika kusimamia maslahi na haki za wafanyakazi. Akizungumza katika kikao cha Watendaji wa Ofisi yake amesema usimamizi wa kutetea Stahiki za Wafanyakazi hautofanikiwa endapo kutakuwa na makundi yanayowagawa wafanyakazi ambayo huzorotesha uwajibikaji. Hivyo amewataka kuhakikisha wanasimamia nidhamu na kuimarisha ushirikiano ili kuweza kukidhi matarajio ya wafanyakazi wao. Aidha amewakumbusha watumishi wa Ofisi hiyo kutambua majukumu yao na kuyatekeleza kama inavyoelekezwa.

Category

Show more

Comments - 0