Duration 48:23

Hotuba ya Diamond, Ali Kiba, Nikki wa II, Idris na JK mwenyewe alivyoagwa.

260 092 watched
0
1.3 K
Published 8 Aug 2015

Aug 6 2015 Wasanii wa Tanzania kwenye bongofleva na filamu walifanya party ya kumuaga Rais Kikwete anaemaliza muda wake, hii ni speech ya Wasanii pamoja na Rais JK mwenyewe.

Category

Show more

Comments - 132