Mkuu wa kitengo cha Sales Rogers Kamene azungumza haya kuelekea katika msimu wa sikukuu, na fursa ya MANGI SHOP/JATU DISTRIBUTOR.Pia kubwa kuliko ni kwamba kwa sasa unaweza kuifanya biashara yako ikaonekana Kitaifa na Kimataifa kupitia mfumo wa JATU MARKET.
NB: Zimebakia siku chache sana kufungwa kwa BATCH NO 1 ya NG'OMBE wa Nyama hivyo jitaidi sana uweze kununua HISA ili uweze kuwekeza katika Mradii huu mkubwa wa UFUGAJI vile vile wahi kukodisha Mashamba ya Ngano, Alizeti na Maharage.
WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA.
0758396767
Instagram : JATU_PLC
Facebook : JATU PLC
Website. : www.jatukilimo.com