Duration 4:5

Wema Sepetu alivyorudi Mahakamani leo Feb 22 2017

66 587 watched
0
117
Published 22 Feb 2017

Mwigizaji Wema Sepetu amerudi tena Mahakamani Kisutu Dar es salaam leo kwenye kesi yake ya sakata la dawa za kulevya baada ya jina lake kutajwa kwenye orodha ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Category

Show more

Comments - 14