Duration 4:12

ZABURI - JUMAPILI YA PENTEKOSTE

2 571 watched
0
27
Published 22 May 2021

WIMBO WA KATIKATI Zab 104: 1, 24, 29-31, 34, (K) 30 Waipeleka roho yako, Ee Bwana, Nawe waufanya upya uso wa nchi. 1. Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana, Wewe, Bwana, Mungu wangu, Umejifanya mkuu sana; Ee Bwana, jinsi yalivyo mengi matendo yako! Dunia imejaa mall zako. (K) 2. MWaiondoa pumzi yao, wanakufa, Na kuyarudia mavumbi yao, Waipeleka roho yako, wanaumbwa, Nawe waufanya upya uso wa nchi. (K) 3. Utukufu wa Bwana na udumu milele; Bwana na ayafurahie matendo yake. Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake; Mimi nitamfurahia Bwana. (K)

Category

Show more

Comments - 5