Duration 2:41

MAENEO YA MKOA WA MWANZA BAADA YA MACHINGA KUONDOLEWA/ BARABARA SAFI/MIJI INAPITIKA

1 105 watched
0
12
Published 30 Oct 2021

Baada ya tamko la Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan, kuwataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya, kutekeleza agizo la kuwahamisha machinga waliosambaa katikati ya miji kuhamia katika maeneo rasmi waliyotengewa kwaajili ya kufanya shughuli zao, YuboxTv imekuletea muonekano halisi wa baadhi ya mitaa katika jiji la Mwanza, inavyoonekana baada ya machinga kuondoka.

Category

Show more

Comments - 3