Duration 2:56

TASWIRA KIMATAIFA : Raia nchini Ethiopia wanaendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi mkuu

64 watched
0
1
Published 23 Jun 2021

Raia Wa Ethiopia Wanasubiri Matokeo Ya Uchaguzi Mkuu Uliofanyika Siku Ya Jumatatu, Katika Nchi Hiyo Ya Pembe Ya Afrika. Uchaguzi Huu Ni Kipimo Cha Demokrasia Katika Nchi Ya Pili Kwa Idadi Kubwa Ya Watu Barani Afrika, Inayooongozwa Na Waziri Mkuu Abiy Ahmed. Tafadhali SUBSCRIBE kupata uhondo zaidi #Taswira_Kimataifa #EthiopiaElections #NicolasSarkozy

Category

Show more

Comments - 0