Duration 1:30:38

NILIVYOBEBA MIMBA YA SHEMEJI YA SHEMEJI YANGU MME WA DADA.

144 604 watched
0
760
Published 9 Nov 2021

Category

Show more

Comments - 85
  • @
    @janeshigami87693 years ago Nafurahia jinsi msimlizi huyu anavyo badilisha sauti ya kila mtu. 9
  • @
    @sumeiyamaddy953 years ago Wanaume wa hivi hapana mungu mstiri mume wngu bora madudu yke afanye njee lkn c ndan. 9
  • @
    @ismailmkame42053 years ago Mashemegi wana mitihani mitego kila aina lazima utaingia box tu. 2
  • @
    @malkiawasauti12173 years ago Sasa baba vai huo uchu kwamba mama vai anafanyaga kazi gani eneweyi anjera faidi utamu coz wamama tumezoea kubana wadada wa kazi when tunalisha vyakula vyamafuta. 9
  • @
    @enithanelson84182 years ago Mwanaume unatamaa wew au unapepo la ngono mwanaume kichwa cha nyuma na anafananishwa na Kristo sasa kwa mfumo huo mnatamaa mbaya sana wanaume Mungu anawaona mgeukien Mungu shetan amewakamata anabuluza kama nn waefeso .. ...Expand
  • @
    @husnaameen93092 years ago Wanaume wengi malaya sana alimtamani siku nyingi hapo alitimiza tu haja yake. 3
  • @
    @reenreen70313 years ago Asante sana kaka simulizi nzuri sana yenye mafunzo, wanaume kama hawa, da ni hatari sana. 6
  • @
    @avelinabaluhya28043 years ago Tamaa mbaya na ubinafsi wa hali ya juu. 1
  • @
    @semenimohamed81563 years ago Kwani ank j simuliz ya nyumba yamisukule vip. 6
  • @
    @carolinenakirutimana15592 years ago Na angela ni malaya. Angepiga kelele. Naye alikua anatamani shemeji yake. 1
  • @
    @florafrancine50253 years ago Swali je maisha nisiyo yatalajia imekwisha ao tusubilie season 3? Tafadhali nijibie anko j. 1
  • @
    @dearmama78653 years ago Mbinu tunazo ila tunakamatwaga kidog sana. 1
  • @
    @shakilamasoud29833 years ago Wanaume watafika mbiguni wamechoka sana. 5
  • @
    @aishaabdi20592 years ago Sasa kama mama mwenye nyumba anamuita mama mkubwa mume wamama mkubwa atamuitaje shemeji.
  • @
    @enithanelson84182 years ago Mshahara Wa dhambi ni mauti bari kalama ya Mungu uzima Wa milele warum kumbuka unachopanda lazima ukivune tumgeukie Muumba dunia sio Yetu wapendwa tusikubar kubuluzwa na shetan .. ...Expand 1
  • @
    @twaenimtekele54083 years ago Daa pole sana anjela shemeji ako atahukumiwa mungu atakuponya. 1
  • @
    @fuhftyfiufffg4783 years ago Tunakufata sana kutoka burundi simulizi zako zina mafunzo mungu akubariki sana. 1
  • @
    @user-qg2sw9bj2i3 years ago Ss baba vai anashangaa nn mwanaizaya uyo. 5
  • @
    @melkimsangi67233 years ago Unauma ila inafundisha mashemeji wengine wenye tabia kama hiyo.
  • @
    @buru12352 years ago Wanaume wenzangu tuache ulafi jameni wow so sad.
  • @
    @johnkuma68673 years ago Inapendeza sana ni kama sineme unaitazama. Tuna kusikiza vyema sana hapa kenya. 6
  • @
    @mariamalongo88032 years ago Ila huyu baba nibaya sna mina ilikuwa yake kwanini jakumtunza tu msichana?
  • @
    @carolinenakirutimana15592 years ago Mwanaume mualibifu kwa nini aliamuru kumualibisha shemeji yake mwenye angeolewa mu mume wake wa bujana na kufurahiya ubikra wa mkewe.
  • @
    @kemuntojackline22673 years ago Simulizi nzuri aja nisikishe nita comment baadae mpendwa. 4
  • @
    @vero7563 years ago Wanaume wengine ni wanyama tu. Hy muhuni. 5
  • @
    @emilyiboya25982 years ago Nisimilizipa. A. Nimafuza. Imenfuza. Kuishi. Nashemeji. Asate. Nimeisikiya. Niko. Riady.
  • @
    @hamzarajabu92013 years ago Ahhahahhahahah nakubali sana tu najifuzaki tu. 1
  • @
    @semenimohamed81563 years ago Wao asante kwa sauti tamm sana yenye kubembeleza. 10
  • @
    @enithanelson84182 years ago Mwanaume unatamaa wew au unapepo la ngono mwanaume kichwa cha nyuma na anafananishwa na Kristo sasa kwa mfumo huo mnatamaa mbaya sana wanaume Mungu anawaona mgeukien Mungu shetan amewakamata anabuluza kama nn waefeso .. ...Expand
  • @
    @enithanelson84182 years ago Mshahara Wa dhambi ni mauti bari kalama ya Mungu uzima Wa milele warum kumbuka unachopanda lazima ukivune tumgeukie Muumba dunia sio Yetu wapendwa tusikubar kubuluzwa na shetan .. ...Expand 1