Duration 3:43

Walter Chilambo - Unaniona (Official Music Video) For SKIZA Sms Skiza to 811

720 187 watched
0
3 K
Published 2 Sep 2020

Music Video for “Unaniona” by Walter Chilambo Watch the latest music videos by Walter Chilambo: /watch/1=xedni&dWWGtax-ebKD8Drte30BIWIXJaBz8uKoLP=tsil&w2_cJTFQnIzQe Listen to Walter Chilambo here: https://snd.click/glmqrfp Follow Walter Chilambo Instagram: https://www.instagram.com/walterchilambotz/ YouTube: /c/WalterChilambo Walter Chilambo Unaniona Lyrics Kama Mungu angechangua watu wake (If God selected His people) Mimi singekuwepo duniani (I would not be here on earth) Kama Mungu angechagua watakatifu (If God selected the Holy ones) Mimi singekuwepo duniani (I would not be here on earth) Refrain: Mimi binadamu, wala si malaika (I am but a human, not an angel) Mengi nimekosea na kukuchukiza (I have wronged and offended You) Mi nafanya mambo yasiyo stahili (I have done things I should not have) Nimevuruga vuruga mipango yako (I have disrupted Your plans) Wanihurumia (Yet You have mercy on me) Mbele ya macho ya wanadamu (Before human eyes) Nilikuwa nikijificha (I was hiding) Kumbe wewe waniona (But You see me) Kwa kujifanya mtakatifu (By pretending to be Holy) Tena bingwa mkarimu (And a generous victor) Nilikuwa/(Kwenye ibada) mnyenyekevu (I was/in worship humble) Tena mpole sana (Also submissive) (Repeat) Kumbe Mungu, unaniona/unionae (Truly God You see me/who sees me) Macho yako, yanitazama/yanitazamae (Your eyes gaze at me/sees me) Sikio lako, yanisikia (Your ear, hears me) Siwezi jificha (I cannot hide) (Repeat) Sasa nimetambua, mbivu na mbichi ni zipo (I have now learned to differentiate) Sasa ninaelewa, njia salama ni wapi (Now I know where the true path lies) Na nimejua bila ya wewe sifiki (And have understood, without You I will not arrive) Hata nikila pasipo neno lako sishibi (Even if I eat without Your word, I am not satisfied) Neema yako, ila kwa neema yako (Your Grace, it’s only by your Grace) Upendo wako, kwa upendo wako (Your Love, by Your Love) Rehema zako zimeniimarisha tena (Your mercies reestablishes me) (Repeat) (Refrain) TheBestIsYetToCome

Category

Show more

Comments - 268