Duration 4:46

KWA HILI LILILOTOKEA PEMBA, HATUA INABIDI ZICHUKULIWE

27 015 watched
0
102
Published 13 Nov 2018

Lengo la kufichua maovu haya ili jamii ielewe ni athari gani zinaweza kuwafika watoto wetu na vipi wazazi wanaweza kuwalinda watoto hawa. Matukio kama haya ni mengi sana ila kutokana na udhaifu wetu wa aibu kwa kuyaficha matatizo kama haya. haitoweza kupatikana dawa ya tatizo hili hata siku moja. Ktv inafatilia kesi hii kwa ukaribu na Tutazidi kuwajulisha jinsi Kesi hii itakavyoendelea. Tujadili hapa kwenye comment, tuambie kitu gani kifanyike ili kumaliza matukio haya. Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. #Habari #Zanzibar #KtvTzOnline Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu

Category

Show more

Comments - 107