Duration 39:56

LIVE: RAIS SAMIA AWAJIBU WANAOULIZA KAMA MWANAMKE ATAWEZA KUWA RAIS - ALIYESIMAMA HAPA NI RAIS

80 944 watched
0
280
Published 22 Mar 2021

🔴#LIVE: RAIS SAMIA AWAJIBU WANAOULIZA KAMA MWANAMKE ATAWEZA KUWA RAIS - "ALIYESIMAMA HAPA NI RAIS" MWILI wa Hayati John Pombe Magufuli, umewasili Dodoma ambapo leo Machi 22 utaagwa kitaifa jijini humo, ambapo Marais na Viongozi wa kutoka nchi mbalimbali watashiriki zoezi la kutoa heshima zao za mwisho kwa shujaa huyo wa Afrika... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 86
  • @
    @mathewtwimanye923 years ago Hotuba nzuri sana inayowarudishia watz wengi Wazarendo lmani, sasa nazani Tutavuka 15
  • @
    @deniskkirindo30183 years ago Tumepata pigo ila mwenyezi Mungu atakuwanasi. Mungu akutie nguvu Rais na mama yetu mpendwa.
    Mama wa taifa kwa sasa.
    9
  • @
    @mathewtwimanye923 years ago Salamu ya kwanza kwa mafisadi na mabeberu, huyo ni magufuri ktk sura na mavazi mengine,shughuri ipo pale big up mama kweli umeiva 11
  • @
    @ashamwandu65723 years ago Mama mungu akupe Afya njema,akulinde na wabaya wote akupe hekma,akupe huruma na akupe maisha marefu, 5
  • @
    @adilavuai75333 years ago Pole sana mhe. Mama Rais...Allah akuzidishie subra na busara katika kutuongoza... 5
  • @
    @kingsuleiman72013 years ago Mungu akutangulie mama yetu katika majukumu hayo ya kuliongoza taifa na kuomba utetee wanyonge ka hayati magufuli Amin. 5
  • @
    @shabanihassan66263 years ago Msiba ni wetu sote wa rais wetu mpendwa mwenye maono makubwa mno,pole mama na rais wetu wa Tanzania,mungu yupo nawe mama. 2
  • @
    @florianemrema57423 years ago Ni vigumu kukabiliana na ukweli huu, Mungu yuko nawe mama mheshimiwa 13
  • @
    @catherinejohn51573 years ago Nimekupenda sana hongera sana mama samia 5
  • @
    @jumamavind77133 years ago Asante kwahutuba nzuri inayotufundisha watanzania kutenda yaliyo mema 1
  • @
    @methewmathayo75483 years ago Ndoto yangu makam wa rais awe agrey mwanri mzee wa sukuma ndani wanaopenda mzee wa toronto weka like nilikuwa nachomekea 1
  • @
    @mireilleirakoze6023 years ago Asante sana mama kuwatia moyo wana wako 4
  • @
    @rutakihama35233 years ago Aiseee saifi sanaaa kipenzi chetu mwenyezi mungu akupenguvu 2
  • @
    @claudinemaxime9363 years ago The Iron Lady,,, Mama Samia, Rais wa Taifa, go! Tuna imani nawe,,, 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 3
  • @
    @favourzahor28743 years ago I wish all the best mama... Love frm 🇰🇪 7
  • @
    @florianemrema57423 years ago Matokeo na si visingizio na lawama !!! Asante mama 2
  • @
    @highonebalo82893 years ago Naumia lakini ninamwamini Mungu mwenye hatima iliyotukuka kwa nchi yetu.
    Mommy Samia nakupenda na Mimi pamoja na WATANZANIA WENYE MAPENZI MEMA NA NCHI YETU TUNAKUOMBEA MUNGU AKUONGOZE MAMA YETU.
    NINA AMANI NA WEWE.
    ...
    6
  • @
    @allykinyaga73843 years ago Mioyo yetu imekukubali nina Imani kwa uweza wa Allah utatuongoza mama MUNGU akupe afya njema wewe na familia yako ili kila siku utuwazie mema wananchi wako 5
  • @
    @alafsakisinda48863 years ago Asante mama samia suruhu Rais wa tanzania mwanamke shupavu hotuba yako ni nzuri
  • @
    @mwadiabulymoshabani63363 years ago Mimi ninakuomba Raisi wa Tanzania Mama. Jitahidi kufata njia za Jemedari kipenzi Cha watu. 3
  • @
    @janethmpinge89833 years ago Allah akuongoze utuongoze kadri ya mapenz yake 3
  • @
    @bernardkisinini41813 years ago Mungu akutie nguvu Raising wetu mama samia
  • @
    @highonebalo82893 years ago Jamani watu wa camera si mtuoneshe huyo Jemedari kidogo tu?
    Hatulaumu kwa nini hakuletwa kaskazini.
    Nakubaliana na ratiba ilivyopangwa.
    Ila sasa! hata kwenye camera tu? Pliiiiiz!
    3
  • @
    @ashamaggimba7473 years ago Allah akupe ujasiri na hekima katika utendaji wako uendeleze pale alipoachia
  • @
    @trice27213 years ago Hongera mama tunakuombea Mungu akutangulie katika kazi zako na akucmamie
  • @
    @happynesslyimo29073 years ago Nina imani na wewe mama,wewe ndio yoshua 2
  • @
    @rachelgerald24003 years ago Mungu akutie nguvu mama yetu raic wetu ameen
  • @
    @maryrubunga65043 years ago Viongozi na wanaoongozwa tumpe Mama ushirikiano tukimtanguliza mungu na kujituma bila kuwa vikwazo katika wajibu kila mtanzania kwa nafasi yake 1
  • @
    @lovelytwins91593 years ago Mama yetu kipenzi chetu uko imara sana, kutumbua kusiishe ukiona jibu usiliache tumbua kabisa usaha wooote uishe 5
  • @
    @shangaziissa74933 years ago Mama kazana kunamafisadi wanakuangalia wanajua ww mwanamke watakuonea tumbua hao 2
  • @
    @teddyoscar68763 years ago Yes CCM haswa, Rais badirisha namba yako ya simu kabisa kwani Lisu amesema atakupigia simu, mshenzi Lisu usipokee simu yake kwani anamuongealea mpendwa wetu Magufuli vibaya na kusema amekufa na Corona, ulaya na kote duniani ndio wanaamini hivyo, Lisu amefurahi sana kifo cha Magufuli 🥺😞 ... 9
  • @
    @alikarisa3 years ago Nakuaminia Mama Na nataraji mwendo utakuwa Ni ule bila chenga. Aliyo kuwa akiyafanya JPM yalifaa kufanywa Na Muslim. So yakubidi Mama Uwe Zaidi Ya JPM 2
  • @
    @dionisyrichard34773 years ago Mama we unajua njia uliopitia mpaka kufika hapo watanzania tupendao amani na maendeleo piga kazi
  • @
    @saheedali74673 years ago Tanzania iko salama ulitamka ulipokua tanga ulipo rudi dar ukatangaza kifo cha boss wako. Naleo unasema Tanzania iko salama Tena. Tuone.