Duration 3:10

KLM ya Uholanzi yafungua anga lake na Tanzania

939 watched
0
9
Published 5 Aug 2020

Ndege ya Shirika la Ndege la Uholanzi (KLM) imewasili nchini usiku wa kuamkia leo, Jumatano kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa janga la virusi vya Corona ikiwa na abiria 177, hatua ambayo inatarajiwa kuuisha sekta ya utalii iliyoyumba kutokana na virusi hivyo. #utalii #AzamNews #AzamTVUpdates #Corona #COVID19 Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 3