Maziwa na haliki yana faida nyingi mwilini kwani ktk hiliki(cardamom) INA vitamin C,B6 na madin ya potassium ,calcium na magnesium.pia kuna fibres(nyuzinyuzi) na protein.
#nini#maziwa#hiliki#
Category
Show more
Comments - 6
Related videos for Nini kitatokea pindi utakapokunywa maziwa yenye hiliki (cardamom) :