Duration 2:57

Zuchu jukwaani kwa Rais Samia, apewa bahasha mkononi

3 597 watched
0
27
Published 15 Jun 2021

Mara baada ya kumaliza kutumbuiza katika jukwaa la wasanii, msanii wa Bongo fleva Zuchu aliitwa katika jukwaa kuu ambapo aliweza kisalimiana na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Category

Show more

Comments - 4