Duration 9:57

Waziri wa Maji amgeuzia kibao Mkandarasi, usinione mjinga

4 663 watched
0
26
Published 26 Apr 2021

Waziri wa Maji, Juma Aweso amekagua ujenzi wa tenki la maji Buswelu wilayani Ilemela na kuagiza mradi huo ulioanza mwaka 2017 kukamilika na kutoa huduma kwa wananchi. Waziri Aweso pia alikagua utandazaji mabomba ya maji kutoka chanzo cha maji Butimba kwenda maeneo mbalimbali ikiwemo Igoma wilayani Nyamagana. Tovuti @BMG BLOG https://www.bmgblog.co.tz/ Facebook @BMG HABARI https://web.facebook.com/bmghabari Twitter @bmghabari https://twitter.com/bmghabari Instagram @bmghabari https://www.instagram.com/bmghabari/ #BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI #PamojaDaimaBMG

Category

Show more

Comments - 6