Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Dkt. Maduhu Kazi na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) Bw. Shariff A. Shariff Waongea na vyombo vya habari wanavyoshirikiana kuhakikisha Uwekezaji unakuwa nchini kwenye Maonyesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) 11 Julai, 2021.
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for Mkurugenzi Mtendaji (TIC) Dkt. Maduhu Kazi na Mkurugenzi Mtendaji (ZIPA) waongea na waandishi.: